Asante mamie,nipo tele ila dah mvua mvua inaharibu mudi ya sikukuu,mvua ya dakika inaacha baridi ya masaaNdiyo dear, karibu tuendeleze ligi.
unatamani kugongeleaUkiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari”
Eeunatamani kugongelea
Kuna mvua huko eeh?Asante mamie,nipo tele ila dah mvua mvua inaharibu mudi ya sikukuu,mvua ya dakika inaacha baridi ya masaa
Huku nilipo sikukuu imekwenda vyema kabisa, hakuna mvua zaidi ya mbwembwe za wingu nene, jeusi kutanda.Asante mamie,nipo tele ila dah mvua mvua inaharibu mudi ya sikukuu,mvua ya dakika inaacha baridi ya masaa
Saa nane ilikuwepo kubwatu,saivimebaki baridi tuKuna mvua huko eeh?
Andjul katuzoesha vibaya nilipoona neno nene nimewaza parachichi hahahahahaHuku nilipo sikukuu imekwenda vyema kabisa, hakuna mvua zaidi ya mbwembwe za wingu nene, jeusi kutanda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiiBaby vs. Omwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 731327
Thank you maige[emoji3] [emoji3] [emoji9]happy easter mom kiarie