BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Word! Niliwahi kuingia kwa makapuku siku za nyuma na kutoa likes za nguvu lakini nilijiona niko ugenini nikasepa kimya kimya ila siku niliyoingia hapa rasmi nilipokelewa vizuri sana na kujiona kama nilikuwepo siku nyingi.
NAJUTA KUCHELEWA kujiunga na uzi huu.
Upendo, kusahemeheana, kujaliana na kuheshimiana ni vitu muhimu sana Mkuu.
NAJUTA KUCHELEWA kujiunga na uzi huu.
Upendo, kusahemeheana, kujaliana na kuheshimiana ni vitu muhimu sana Mkuu.
Ni kweli mkuu. Uzi huu umefanikiwa kukwepa kilichoifanya Makapuku ikadumaa. Wageni hapa wanakaribishwa vyema tu na ni ruhusa kujiachia. Makapuku ilifika mahala wenyeji wakajiona kuwa wanamiliki uzi na mgeni ukienda huko unasusiwa. Tuendeleeni hivi hivi na Myoya wetu akihimiza upendo, kujaliana na kusameheana kama ambavyo tumekuwa tukifanya !!!