Child development milestone.
* Hatua za ukuaji wa mtoto, hutuwezesha kujua mtoto anakua kiakili, kimwili, na kisaikolojia.
Mfano. Mtoto kula miguu, ni moja tu ya hatua ya ukuaji inayotuonesha kuwa mtoto anakua.
Hii hutokea sana kwa mtoto/watoto kuanzia miezi 4-8.
Mtoto anakuwa busy kula miguu yake na kufurahia kitendo kile.. Chaweza kukushangaza, lakini ni hatua muhimu sana. Katika umri huu mikono yake inakuwa haina ushirikiano vizuri na anakuwa na tabia ya kutak kjifunza vitu vilivyo karibu yake. Hivyo anatengeneza tabia ya kuvitambua kwa kuviweka mdomoni. Hivyo kukamata kila kilicho karibu yake, ikiwa ni pamoja na miguu.