*Kumpa mtoto chakula kingi kwa wakati mmoja, mama anatakiwa kumpa mtoto chakula kiasi na mara kwa mara... Sio unamlisha mtoto chakula kama vile kesho hali tena.
*Hapo kwenye mazoea ya kumpikia aina moja ya chakula, unaanza kulalamika kwa watu mtoto hali, huwa wanawaumbua sana wazazi pale waendapo ugenini, maskini kitoto utashangaa kinachangamkia chakula, kimeonja ladha tofauti (nzuri)