Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

52.Weka matarajio ya juu kupata mwanaume au mwanamke mwenye heshima, mwaminifu na mwenye kukuthamini kama unavyotegemea.chukua majaribio na mafunzo kwa vitendo na wape uaminifu wako.
 
55.Familia inayoongea manone machafu, matusi matusi ,ni sehemu ambayo wanashiriki siri zao kwa wazi wazi na wanajisikia vizuri na tofauti na wengine.hawawi bora na hujitoa kwa wengine bila ya kujali.
 
*Kumpa mtoto chakula kingi kwa wakati mmoja, mama anatakiwa kumpa mtoto chakula kiasi na mara kwa mara... Sio unamlisha mtoto chakula kama vile kesho hali tena.

*Hapo kwenye mazoea ya kumpikia aina moja ya chakula, unaanza kulalamika kwa watu mtoto hali, huwa wanawaumbua sana wazazi pale waendapo ugenini, maskini kitoto utashangaa kinachangamkia chakula, kimeonja ladha tofauti (nzuri)
 
*Mama, usimzoeshe mtoto uji, ndizi sijui ugali, jaribu kufanya mbwembwe katika kumuandalia mtoto chakula atakachokifurahia..Huwa hatushindwi kujaribu, jaribu kuwa mbunifu wa chakula cha mwanao.
Afya ya mtoto ni muhimu sana, na hutegemea umakini wa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…