Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

476141.jpg
 
PLACENTAL ABRUPTION (Kuachia kwa placenta kwenye ukuta wa uterus).

Kama tunavyoelewa kazi ya placenta ni kumsaidia mtoto kupata hewa, virutubisho pamoja na utoaji taka mwili kutoka kwa mtoto.

Placenta yatakiwa tu kuachia pale muda wa kujifungua unapofika, lakini kuna wakati placenta hujiachia mapema (wiki 25 - 28), miezi 6-7 na mara chache sana hutokea miezi 8 kuelea 9.
 
Back
Top Bottom