Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Hii husababisha vifo vya watoto wachanga kwa 15%.
Na hii case hutokea kwa nadra sana.

Chanzo halisi cha tatizo hakijajulikana, ila tu yaweza sababishwa na uvutaji wa sigara, matumizi ya kokeini, kufanya kazi nzito/ kunyenyua vitu vizito.. na

kushiriki tendo la ndoa bila kujali na kutokuweka umakini, hii pia imekuwa chanzo cha tatizo, ingawa baadhi ya wahusika wakiulizwa wawapo hospitali hukataa kata kata.
 
Kama abruption itakuwa sio serious sana, mjamzito anaweza kupewa bed rest mpaka pale atakapojifungua.

Vile vile kama itatokea karibu na muda wa kujifungua halafu haijaonesha complications , madaktari wanaweza kujaribu ajifungue kwa njia ya kawaida;
Lakini kama imeonesha complications itabidi mama mjamzito ajifungue kwa scissor (Emergency hysterectomy) ili kuokoa maisha ya kichanga, ingawa pia inaweza kutokea kumpoteza mtoto..
 
79.Watu huamini kuwa ni ngumu kusamehe,mimi nasema kusamehe ni rahisi kuliko kujifunza kumwamini mtu kwa mara nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…