Si ni mwanae so hajampa vaibreshen popote [emoji23] [emoji23]Ndiyo ya jana mlikuwa mnasema watu wabebe na kuwaosha wapenzi wao? Majini sawa. Atoke naye nje tumuone kama kweli ni mwanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Cha haraka huwaga kitamu sana. Na siyo lazima akuchafue kama hutaki [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Don't drink and driveSherehekea kwa amani
IndeedLikes za pasaka
Na kwako mkuuPasaka njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wameipeleka Belgium kwanza ili mgonjwa wetu mashuhuri akaione kwanza apunguze presha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kwako pia mkuuSiyo supu ya tumamba?
Pasaka njema mkuu...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Dakika mbili nyie injini hata haijaanza kupata moto. Ndiyo maana kikaitwa cha haraka...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kitamu kama wote mkifika eneo husika
Kuna kutoelewana hapa katika maaskofuFebruari 10, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa ujumbe wa Kwaresma wa mwaka 2018 ndani yake likitoa msimamo kuhusu masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Ujumbe huo ulioandikwa na maaskofu wote 35 wa TEC wakiongozwa na rais wao, Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa ulizungumzia hali ya kisiasa nchini kwa kuonya uamuzi wa Serikali kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni kwenda kinyume cha Katiba ya nchi.
YopSiku imeshika kasi