Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahaha kabisa[emoji28][emoji28][emoji28], poti ya wenyewe.
Hahaha kabisa[emoji28][emoji28][emoji28], poti ya wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nini lakini?Bado ana machungu na ukifikiria hali ya hewa shawish kwa kilimo,koromije boy anaishia kuloweka samaki kwenye oven hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahah jibu la bata
Hujawahi kuniangusha hata siku moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] Mungu ana akili sana,"akaona si vema watu wangu kuwaacha bila mizigo,mwanamke akampachika kinu,mwanaume akambebesha mche/mtwangio.Akamtanguliza mbele mwanaume ili akipata hamu ya kumuona mke ageuke nyuma.Kumbuka: kitendo cha mwanaume kugeuka,kichwa cha mtwangio ndicho huwa na kumbukumbu zote za wapi kijigonge kwa mwanamke... "
Kwa hiyo, ili....(hata sijui nilitaka kumaanisha nini[emoji82] [emoji82] )
Duh huyu mbaba hadi hurumaKutoka Kenya kwenda Dubai walimdunga sindano hivyo alisafiri akiwa hajitambui hadi alfajiri ile dawa ilipoisha ndiyo akazinduka na kuanza kuuliza wapi hapa, wakati huo ndiyo ndege ikikaribia kutua. Haya ni maelezo yake yeye mwenyewe.
Unataka SBY aungane naye? Whai? Hau? Wheni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali la kipima joto
Je,baada ya jakitoo kula ban inayosemekana ni ya mwezi mzima,SHIMBA YA BUYENZE ataungana naye??[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bata batani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo maana sijarudi kwenye uzi wako
Kwa kosa gani? Kitoo sijawahi muona siasani zaidi ya mmu na jukwaa la huku kwetu...Tena ya mwezi mzima [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Duh![emoji124] [emoji124] Mungu ana akili sana,"akaona si vema watu wangu kuwaacha bila mizigo,mwanamke akampachika kinu,mwanaume akambebesha mche/mtwangio.Akamtanguliza mbele mwanaume ili akipata hamu ya kumuona mke ageuke nyuma.Kumbuka: kitendo cha mwanaume kugeuka,kichwa cha mtwangio ndicho huwa na kumbukumbu zote za wapi kijigonge kwa mwanamke... "
Kwa hiyo, ili....(hata sijui nilitaka kumaanisha nini[emoji82] [emoji82] )
Watu wepesi sana kulaumu watu wengine...
Si ameaga kabisa jamani?Hee umejuaje?
Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa kikipata moto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwambieee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushaambiwa mambo ya kifamilia huelewi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah pale wala haikua kufuata baba muandish bali ajira mpya iligonga hodi so kisingizio kumfata baba muandishi,basi kutaka kurudi wakabumbulua picha hata ningekua mie nisingerudi nefa(in mwakaleli voice)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nini lakini?
Naona dalili za kufuata nyayo za cheupe wa yule muandishi wa humu.
Mwenye kwenu kwaheri oooh[emoji441] [emoji445] [emoji445] [emoji124] [emoji124]
Lishatolewa. SBY akiondoka utakosa likes kibao ujue ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha nasubiria jibu
Ushajibiwa. Mbona usijibiwe?Sijui kama nitajibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aah koromije mwenzangu acha ubahili niambieeeeeeeMwambieee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mlikuwa mwazungumzia nini vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] Mungu ana akili sana,"akaona si vema watu wangu kuwaacha bila mizigo,mwanamke akampachika kinu,mwanaume akambebesha mche/mtwangio.Akamtanguliza mbele mwanaume ili akipata hamu ya kumuona mke ageuke nyuma.Kumbuka: kitendo cha mwanaume kugeuka,kichwa cha mtwangio ndicho huwa na kumbukumbu zote za wapi kijigonge kwa mwanamke... "
Kwa hiyo, ili....(hata sijui nilitaka kumaanisha nini[emoji82] [emoji82] )
Yaani nyie. Natamani nyote wawili niwakusanye niwape vimdabuo [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hahahaha mbona wakiitana bintiii,mwananguuu tuanaonaga bila kualikwa tujaribu kuuliza tu ya kifamilia tunaweza pata bahat ya kujibiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hizi likes hizi nataman zigeuke hela nidowinilodi laki tatu yanguLishatolewa. SBY akiondoka utakosa likes kibao ujue ohooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]