Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bado ana machungu na ukifikiria hali ya hewa shawish kwa kilimo,koromije boy anaishia kuloweka samaki kwenye oven hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nini lakini?
Naona dalili za kufuata nyayo za cheupe wa yule muandishi wa humu.

Mwenye kwenu kwaheri oooh[emoji441] [emoji445] [emoji445] [emoji124] [emoji124]
 
Hujawahi kuniangusha hata siku moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali la kipima joto
Je,baada ya jakitoo kula ban inayosemekana ni ya mwezi mzima,SHIMBA YA BUYENZE ataungana naye??[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unataka SBY aungane naye? Whai? Hau? Wheni? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni ban ya masaa 72 tu. Mwezi mzima ni too much....
 
Tena ya mwezi mzima [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa kosa gani? Kitoo sijawahi muona siasani zaidi ya mmu na jukwaa la huku kwetu...
 
Duh!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nini lakini?
Naona dalili za kufuata nyayo za cheupe wa yule muandishi wa humu.

Mwenye kwenu kwaheri oooh[emoji441] [emoji445] [emoji445] [emoji124] [emoji124]
Aaah pale wala haikua kufuata baba muandish bali ajira mpya iligonga hodi so kisingizio kumfata baba muandishi,basi kutaka kurudi wakabumbulua picha hata ningekua mie nisingerudi nefa(in mwakaleli voice)
 
Hivi mlikuwa mwazungumzia nini vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana haya maelezo mweeee
 
Hahahaha mbona wakiitana bintiii,mwananguuu tuanaonaga bila kualikwa tujaribu kuuliza tu ya kifamilia tunaweza pata bahat ya kujibiwa
Yaani nyie. Natamani nyote wawili niwakusanye niwape vimdabuo [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…