Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemejiiii...!!!

Unajua hata siku nikimuona sista nitakuwa namwangalia kwa wasiwasi kidogo kulingana na unayoyaandikaga humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aahaaa usimshtue oohooo atakuja kukubadilikia na kukuambia anonymous forever
 
Na vyenye natamani kupigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooiiii
Weweeee. Unatamani kupigwa eeeh?

Sijui kwa nini nimesoma hii comment yako halafu nikahisi mtimbwiliko wa hewa usio wa asili kunizunguka? Ngoja niweke mikono mfukoni tu isiwe kesi [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]uwiiiiiii
 
Hahahaha nasubiria jibu
Sijui kama nitajibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha mbona wakiitana bintiii,mwananguuu tuanaonaga bila kualikwa tujaribu kuuliza tu ya kifamilia tunaweza pata bahat ya kujibiwa
Ukijibiwa nitag maa
Nyie watoto mbona mna ***** ***** hivyo? Dad anapitia kipindi kigumu,mtoto kupotea inaumiza sana
Msirudie tena maswali magumu,sawa?
 
Kamera nije nirekodi nikiwachapa vimdabuo au anaongelea nini? Nyie leo sijui mna nini. Injini zinatokota ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zishapigwa pasaka ile kauzu kauzu huku tunakula likes huku saksfoni linaongea lugha zake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani kama anasoma anatamani aje kunichamba kichaga humu.

Huyu mkoromije hachelewi kukimbia hapa akambembeleza mbebez kwa ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124]
#badoninahangoveryapasaka#
Kitooo maliza ban uje uone vimbwanga huku...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…