[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama wewe? Uliniudhiiii...
Etat major[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji449][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sangulo ooh sangulooo mamaa
Mwanamama acha kulia kama nyau sanguloo ooh sangulo mama
Jamaniii....Machungu tele moyoni kweli kitoo umekula ban,sina tofauti na mpofu hata njia sion,nani wa kuniita dadiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] nikielewa nitakosa ubuyuNumbisa anajifanya haelewi[emoji23][emoji23]
Nimesoma hiyo comment mkuu dogo akasimama mguu sawa ghafla. We acha tu...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Una maanisha ku-slap-wa? Ili yavaibureti?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kipind kigumu pekee ni pale mbu au siafu aking'ata parachichi,hujui ufinye,upige kibao au ubembeleze kwa lugha ganNyie watoto mbona mna ***** ***** hivyo? Dad anapitia kipindi kigumu,mtoto kupotea inaumiza sana
Msirudie tena maswali magumu,sawa?
Safari nyingine nitatumia njia mbadala. Hata kama ni kutafuta profesheno hacker kabisa...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeondoka Jakitoo, umeniachia masikitiko...Jakitoo wa mama aaa...[emoji23][emoji23][emoji23]bebi umeondoka umeniacha nalia na majonzi,umeenda kukaa mbali nami jakitoo ooh mama[emoji441] [emoji441] [emoji445] [emoji445]
Usajili kati kati ya msimu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siyo mimi nitakayekosa likes. Nipe invitation huko kwako kwa huu mwezi. Pimbi nitapambana naye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marijani Rajab....Umeondoka Jakitoo, umeniachia masikitiko...Jakitoo wa mama aaa...
Jakitoo ooo ooh...[emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji448] [emoji449]
Shemeji kipenziiii(sijui kuna nini?)[emoji137] [emoji137] [emoji137][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiiiii
Hahahaha uzi mtamu huu
Usivijali sana vidole vyangu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amu simpo maniShemejiiii...!!!
Unajua hata siku nikimuona sista nitakuwa namwangalia kwa wasiwasi kidogo kulingana na unayoyaandikaga humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanapenda wanne na kuwaoa kabisa sembuse wawili?Oooh haiwezekan kabisaaaaView attachment 732433
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara simu haipatikani,ofisi ya mkuu wa mkoa nayo imefungwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aahaaa usimshtue oohooo atakuja kukubadilikia na kukuambia anonymous forever