Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 732445
Mungu Hajakupangia ubaki hapo ulipo. Tatizo lako umeridhika. Naamini Mungu Anakutaka uondoke hapo ulipo na kusonga mbele [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
446413678_21333.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kipind kigumu pekee ni pale mbu au siafu aking'ata parachichi,hujui ufinye,upige kibao au ubembeleze kwa lugha gan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ilinikuta jana jioni shambani,wale sisimizi wa vichwa vikubwa ,aling'ata saksafoni, weeeeeee...
Nilivyo mnyofoaa,kuchungulia najikuta nina kichwa kikubwa na kakichwa kadogo kameota pembeni,kukang'oa kanauma.
 
Ukichanganya maji ya limao vijiko vitatu, unga wa muhogo nusu kijiko cha chai, maganda ya karanga mbichi zile nyekundu, majivu ya ndizi mshale zilizochomwa, mafuta ya mkia wa kondoo, unga wa njiti za viberiti, robo kikombe cha mkia wa pweza, na tui la nazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavyosoma kwa makini..... mi hata sijui ukichanganya unapata nini, we endelea tu kusherehekea pasaka usiwaze ujinga!
 
Alafu kuna Hutu tuchali hutembelea madame usiku na ni mara ya kwanza jifunze kwenda mchana at least ujue nyumba ni gany[emoji134][emoji134][emoji134]nilikutana na mmoja ametoka bafu Leo asubuhi ako na towel kiunoni akaniuliza kwa Fulani ni wapy ndo nikajua amesahau nyumba[emoji848][emoji848][emoji848]nikamwelekeza kwa landlord[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316]
 
I laugh seriously when i hear people say that Bill Gates and Mark Zuckerberg dropped out of school and still made it very big in life.
REMEMBER they dropped out of HAVARD and not UDOM[emoji38]
Better face your studies yoh. A Havard dropout is equal to a PHD holder at UDOM
Thank me later[emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom