ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Thank you.Welkamu bidadaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Thank you.Welkamu bidadaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hapana mkuu naona wanaonewa sanaHaya matani hata sijui huwa yanaanzaje. Unasoma UDOM mkuu?
Tehe[emoji23] [emoji23][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 732467
[emoji28][emoji28][emoji23]MEN
If your Relationship started from Facebook, WhatsApp, Instagram. Then stop thinking about bride price.
Just send her parents data bundles.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatumia kinywaji gani nipo hapa muhudumu[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Thank you.
Bwahahhahhahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaLadies who don't use phone covers don't like condoms. It was scientifically proven....Don't argue with me please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saksafoni lako likitulia una busara za ajabu. Basi tu !!!Ikisha kosewa siku ya kwanza,siku ya pili ni rahisi kusahihisha.Maisha ya mtandaoni ni maisha ya ndoto za watu wengi,yanaandikwa/kusimuliwa matamanio kuwa halisia.
Kuna wengine wanatamani waone mafanikio hayo ili wajifunze au wahakiki kama ni kweli.Kweli inakuwa si kweli,kwanini asikimbie?
Tulio pigika tunatafuta mawazo mapya kwa tunao waamini wanaweza kumjenga mtu,hata akinicheka kwa jinsi alivyo nikuta,muhimu anipe elimu ya kunitoa nilipo.
Nilipo maliza six,sikwenda chuo.Nilizurura sana tena kijinga jinga.Baada ya kupigika nikaangukia kwenye utingo wa mabasi. Abiria wengi niliokuwa nawapakilia mizigo,walikuwepo na niliosoma nao (Mkwawa ilikuwa na wanafunzi 2,800) wakiwa wananishangaa nini kimenipata. Baadae nikaona isiwe tabu,nikajiunga na kampuni ya ulinzi.Kirungu,radio call mkononi huyooo kulinda.... Hatimaye chuo.
"Maisha mazuri sio mali,bali nafsi ikiwa na amani"
Mkwaju eeeeh mkwajuuuu waja kwa mwendo kasiiii[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444]Tehe[emoji23] [emoji23]
Mkwaju gani huo jamani?Tehe[emoji23] [emoji23]
Hahahahaha! Nimewaza baruti tu hapo.Ukichanganya maji ya limao vijiko vitatu, unga wa muhogo nusu kijiko cha chai, maganda ya karanga mbichi zile nyekundu, majivu ya ndizi mshale zilizochomwa, mafuta ya mkia wa kondoo, unga wa njiti za viberiti, robo kikombe cha mkia wa pweza, na tui la nazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavyosoma kwa makini..... mi hata sijui ukichanganya unapata nini, we endelea tu kusherehekea pasaka usiwaze ujinga!
Ewaaaah ewaaah[emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji444]Mkwaju gani huo jamani?