Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu Hajakupangia ubaki hapo ulipo. Tatizo lako umeridhika. Naamini Mungu Anakutaka uondoke hapo ulipo na kusonga mbele [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]ewaaaaaaah
image_search_1522681791174.jpg
 
[emoji23]MEN

If your Relationship started from Facebook, WhatsApp, Instagram. Then stop thinking about bride price.
Just send her parents data bundles.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I laugh seriously when i hear people say that Bill Gates and Mark Zuckerberg dropped out of school and still made it very big in life.
REMEMBER they dropped out of HAVARD and not UDOM[emoji38]
Better face your studies yoh. A Havard dropout is equal to a PHD holder at UDOM
Thank me later[emoji4][emoji4]
Kwa nini udom jamani na sio st john[emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
KKKT maslahi yamepungua kutoka kwa waumini, kwa hiyo familia zao zinasota hamna sadaka! That’s all!
Una uhakika na hili unalosema au na wewe umeamua kushabikia kila kitu anachosema Raisi hata kama ni kibaya ??? Achana kabisa na haya mambo ya dini Mkuu yana mzizi mrefu sana hapa nchini na ni makubwa sana kuliko unavyoweza kudhani: Ungekuwa unafahamu hata kidogo yalitaka kusababisha nini hapa nchini tokea mwaka 1980-1983 naamini usingetaka hata kuchangia mada za hivi.....Sambamba na kuyashabikia hivi (Acha mkuu)
 
Kawaida sana hii kwenu wakazi wa Dar. Wa mikoanu tukija hatuwapati....
Ikisha kosewa siku ya kwanza,siku ya pili ni rahisi kusahihisha.Maisha ya mtandaoni ni maisha ya ndoto za watu wengi,yanaandikwa/kusimuliwa matamanio kuwa halisia.
Kuna wengine wanatamani waone mafanikio hayo ili wajifunze au wahakiki kama ni kweli.Kweli inakuwa si kweli,kwanini asikimbie?
Tulio pigika tunatafuta mawazo mapya kwa tunao waamini wanaweza kumjenga mtu,hata akinicheka kwa jinsi alivyo nikuta,muhimu anipe elimu ya kunitoa nilipo.
Nilipo maliza six,sikwenda chuo.Nilizurura sana tena kijinga jinga.Baada ya kupigika nikaangukia kwenye utingo wa mabasi. Abiria wengi niliokuwa nawapakilia mizigo,walikuwepo na niliosoma nao (Mkwawa ilikuwa na wanafunzi 2,800) wakiwa wananishangaa nini kimenipata. Baadae nikaona isiwe tabu,nikajiunga na kampuni ya ulinzi.Kirungu,radio call mkononi huyooo kulinda.... Hatimaye chuo.

"Maisha mazuri sio mali,bali nafsi ikiwa na amani"
 
Back
Top Bottom