Ha ha ha ha ha ha ha haNaona mmeanza mapema na mimi nimewamiss
toa likes apate likesnipo pande hizi nagawa likes
Uwe na mchana mwemapamoja mkuu
Jakitoo huo mguu vepe!ho chi minh
Angalieni kazi jamani uzi huu upo tuuTototo.... ajigijgijiii
Mwendo wa range62k mnakimbiza balaaa
Hata mimi jana nilisumbuka kwa masaa 14.Ukifika kwenye miji midogo unachungulia hivyo hivyo mpaka ufike. Filamu za kwenye mabasi ni kero chaaa!!! Jana nimeona bongo muvi Jambazi kavamia ofisini ameua na ameacha alama ya unyayo wake una damu. Nikiangalia simu haina networkMama network za barabarani ndio shida mpaka nifike kwenu itakuwa shida
Kweli kabisaHumu ndani hatulike matusi tu ila vingine vyote tunalike
pamoja sana.Sawa usiache kukita kambi kwenye uzi huu
What????Andjul
You need not to say...haha old englishNeed i say more?
quigleyJakitoo
hiyo hapo .Onyesha upendo na support kwa kunipa like