myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Siku inaenda ukingoni
[emoji4][emoji4][emoji4]Then am proud of you
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Antonello Venditti- Che fantastica storia è la vita con testo
Anhaaa unaujua eeeh ???
Ps: Basi hii ndiyo dedication yangu kwa usiku wa leo...
Jana bhana nilikuwa nna hasira sidhani kama hata hiyo linki nakumbuka ilipo.[emoji4][emoji4][emoji4]
Umeanza kusoma ile link ya jana??
HahahahaNitakuja kukuona sentro
Kweli hasira zako ziko karibu sana,pole kwa kukwazika.Jana bhana nilikuwa nna hasira sidhani kama hata hiyo linki nakumbuka ilipo.
Ngoja nitarudi kwenye ule uzi kucheki
Khaaa!Wooooiiiii
Why??
he he he
[emoji23][emoji23]Hahahaha
Na kwenye familia ntakuandikisha wewe unidhamini milion 7 ya dhamana
Aah! Sina hasira sana ila mtu akifika stage ya kunipa hasira huwa nakuwa si mtu mzuri.Kweli hasira zako ziko karibu sana,pole kwa kukwazika.