Mbowe si Rais kwa hiyo Magufuli hawez kupewa pass eti kwa kuwa Mbowe kafanya kitu flan. Yeye ni Rais he should do betterAnafaa kuwa mfagizi kwenye ofisi za Mbowe? Au huko nako hakumfai? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu kwa ufafanuzi. Elimu ya darasa la saba hii basi hata logic zero. Na kutawaliwa na jiwe nako kazi sana wallahi...Mbowe si Rais kwa hiyo Magufuli hawez kupewa pass eti kwa kuwa Mbowe kafanya kitu flan. Yeye ni Rais he should do better
Mbiwe naye nna kesi naye nyingi tuu. But nchi iko pabaya na deal na JP kwanzaSawa mkuu kwa ufafanuzi. Elimu ya darasa la saba hii basi hata logic zero. Na kutawaliwa na jiwe nako kazi sana wallahi...
Siasa ndo zinaongoza maisha yetu hazikwepeki. Kama mnajua mnachopigania, endeleeni kupambana "wanaharakati" wetu.Mbiwe naye nna kesi naye nyingi tuu. But nchi iko pabaya na deal na JP kwanza
Hehehehe
Poa poa ngoja tupumzishe siasa hizi
Yegomasika. Njoo huku mkuu. Hili swali kweli ni gumu kiasi hiki?
***********************************
The mathematician Leo Moser posed in 1966 the following curious mathematical problem: what is the shape of largest area in the plane that can be moved around a right-angled corner in a two-dimensional hallway of width 1? This question became known as the moving sofa problem, and is still unsolved fifty years after it was first asked.