carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Karibu tenaAaauw aauw!
Haya thanks
Karibu tenaAaauw aauw!
Haya thanks
she was once there tu, ila mbona sku hizi ana tusema.Mimi mwenyewe ni mwanafamilia kule naanzaje kwa mfano?
Kule kunanipaga raha kwakweli
ThanksKaribu tena
Ila vitu vingine uwe unapotezea bhana,asante hata hivyo[emoji846][emoji846]she was once there tu, ila mbona sku hizi ana tusema.
Kwa hiyo jana nilikuwa hata wewe bakutetea
Woyoooooo! [emoji1]
Justified anger.
Ni ndefu ila jitabidi ukimaliza nitakupa sababu kwanini namuita vileThanks
Kesho nikumbushe nikupe feedback ntaisoma ni ione.
Aaaah! Huwa napotezea mambo mengi sana ila kwa lile la jana. Hapanaaa!Ila vitu vingine uwe unapotezea bhana,asante hata hivyo[emoji846][emoji846]
Khaaa! Yaan kujua mpaka ni imalize!!?Ni ndefu ila jitabidi ukimaliza nitakupa sababu kwanini namuita vile
Kama yameisha ni vizuri.Aaaah! Huwa napotezea mambo mengi sana ila kwa lile la jana. Hapanaaa!
I couldnt take it anymore...
Ila yameisha
[emoji23][emoji23][emoji23]komaa umalize nikupe sababuKhaaa! Yaan kujua mpaka ni imalize!!?
Mweeh!!
Carbaa! Thats too much! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]komaa umalize nikupe sababu
Njia kati ya neno na azimio ni ndefu. Mtu apimwe kwa matendo yake. Wakati wake hali ilikuwaje? Ni kweli anayoyasema aliyatenda? Kuna watu wengi ndugu zao walifia kizuizini na wengine kupotea mpaka leo kisa tu walijaribu kutofautiana naye kihoja. Mimi pia mjomba wangu mwanajeshi wa cheo cha juu tu alipotea mpaka leo hatujui aliko kisa tu alihisiwa kuhusika na kasheshe fulani. Tuache unafiki !!!
HayaKama yameisha ni vizuri.
Usiku mwema,acha nikalale kwanza nitarudi baadae kule
Uchku mwemaHaya
Kesho, i will see you then
Sleep well
Nyerere alikuwa ana mapungufu, yeye mwenyewe alisema tuliyafanya mazuri na tuliyafanya ya kijinga, akawaasa viongozi wanao fuata wasichukue ya kijinga bali waige mazuri tuu. Vivo hivyo Mwinyi, Mkapa, na JK wote walikuwa na mapungufu.Hakuna unafiki wa aina yoyote ile! Wengi tu humu wameandika kuhusu mapungufu ya Nyerere akiwa madarakani na mimi ni mmoja wao hata yeye mwenyewe pia aliwahi kuzungumzia hadharani nasikia kwamba mengi alilalaumiwa Kawawa wakati aliyestahili kulaumiwa ni yeye hiyo ni kauli yake mwenyewe Mwalimu.
Na wewe ni mnafiki kwa kutomkemea huyu
Dhalimu muuaji!? Pole kwa kumpoteza mjomba wako katika mazingira kama hayo lakini haina maana kwa sababu mjomba wako alipotea katika mazingira kama hayo basi nawe ukae kimya pale wajomba wa Watanzania wengine akina Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda na wengine chungu nzima wanapouawa na huyu dhalimu muuaji.
Sawa mkuu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hakuna unafiki wa aina yoyote ile! Wengi tu humu wameandika kuhusu mapungufu ya Nyerere akiwa madarakani na mimi ni mmoja wao hata yeye mwenyewe pia aliwahi kuzungumzia hadharani nasikia kwamba mengi alilaumiwa Kawawa wakati aliyestahili kulaumiwa ni yeye hiyo ni kauli yake mwenyewe Mwalimu.
Na wewe ni mnafiki kwa kutomkemea huyu
Dhalimu muuaji!? Pole kwa kumpoteza mjomba wako katika mazingira kama hayo lakini haina maana kwa sababu mjomba wako alipotea katika mazingira kama hayo basi nawe ukae kimya pale wajomba wa Watanzania wengine akina Mawazo, Ben Saanane, Azory Gwanda na wengine chungu nzima wanapouawa na huyu dhalimu muuaji.
Anafaa kuwa mfagizi kwenye ofisi za Mbowe? Au huko nako hakumfai? [emoji23][emoji23][emoji23]Nyerere alikuwa ana mapungufu, yeye mwenyewe alisema tuliyafanya mazuri na tuliyafanya ya kijinga, akawaasa viongozi wanao fuata wasichukue ya kijinga bali waige mazuri tuu. Vivo hivyo Mwinyi, Mkapa, na JK wote walikuwa na mapungufu.
Ila namba 5 hafai kabsaa, hafai hata kuzungumziwa next to Nyerere. Au niseme hafai kuwa mfuta viatu wa Nyerere. Hafai kuwa hata mfagiaji kwenye foundation centers za Mkapa na JK.
He is too low jamani.