Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tutafakari kuwa maisha ya hapa duniani ni machache sana, kulinganisha na maisha ya baadaye. Kama utaishi miaka 80 au zaidi bado hujafikia maisha ambayo yanaendelea baada hapo. Tafakari ni wangapi waliokufa miaka ya zamani, na muda gani umepita mpaka leo? Na kama bado wapo wapo wapi? Je wanaishije muda huu? Utaona maisha ni mafupi sana.
 
Classic!

29089796_181953789107742_8107242076803956736_n.jpg
 
Badala ya kupoteza muda kufanya majukumu, kujenga n.k wakati vyote hivi vinapita na tunaviacha hapa duniani tunapaswa kufahamu kuwa lengo la maisha ni kujitambua. Unapojitambua utabadilisha mabaya yote na kuhakikisha unajiweka imara katika matendo, mawazo na maneno sahihi.
 
Utadhani jamaa kaitoa mwaka jana au mwaka huu Mkuu baada ya kuona hali halisi ya yanayojiri nchini. Jamaa alikuwa na maono ya mbali sana. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Njia kati ya neno na azimio ni ndefu. Mtu apimwe kwa matendo yake. Wakati wake hali ilikuwaje? Ni kweli anayoyasema aliyatenda? Kuna watu wengi ndugu zao walifia kizuizini na wengine kupotea mpaka leo kisa tu walijaribu kutofautiana naye kihoja. Mimi pia mjomba wangu mwanajeshi wa cheo cha juu tu alipotea mpaka leo hatujui aliko kisa tu alihisiwa kuhusika na kasheshe fulani. Tuache unafiki !!!
 
Miaka flan enzi za JK ,lissu alikua anamshambulia sana nyerere na wafuasi wake wakawa wanashabikia na kutoa kashfa kwa nyerere,saiv yamewakuta magumu wameanza kumbuka na kuamin falsafa za nyerere aiseee siasa hizi
 
Back
Top Bottom