Inategemea na lengo la kukonyeza...Hivi kukonyeza ni zambi??
Mingi tu mfano mlango wa mods,wa carba,wa kitoo(ooohooo kitoooo kitooo weeeeee am just imaging shimba anavyolalamika hahaha) etcWewe unajua milango mingapi? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Mbona kama trafic anaomba namba?Tutumie raslimali zetu vizuriView attachment 733171
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]matanga ya yesu mweee
Kamanda anamuogopa malkiaKamanda hata wewe??
Huyu jamaa bhana[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kudanganya andaa mazingira rafikiView attachment 733183View attachment 733185View attachment 733186
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Andjul aione hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nsansa ni nini? Dagaa? Huku kwema...Siku ipo poa karibu ugali nsansa. Za huko?
Ndiyo maana huishia kupora waume zao maana wabahiri sanaWamewageuza watumwa.
Wewe msukuma wa wapi haujui nsansaNsansa ni nini? Dagaa? Huku kwema...
Mbona ushasema sasa[emoji23][emoji23][emoji23]