Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weeeee....weeeee...kwanza yeye hatakubali itakavyo washa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na mwanaume kweli aiache iende? Kitumbua amekiminya,kimetoa mafuta,yametapakaa kwenye vidole...ukisilapu pale kwenye sambusa yake anaushikiria mkono na kuukandamiza,visiki vya kipori ulichotoka kufyeka vinakuchoma kiuhamasishaji....hahaaaaa uuuuwiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo maelezo sasa.
Wakati mwingine mwache apambane na huo muwasho kidogo,siku nyingine mwacheee.
Ina maana na wewe aki.....utataka aku.....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
480393E9-DB06-47D9-A19C-43371D3C7227.png
 
Wakati mwingine itamani tu iache iende khaa!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata mimi nilimwambia hivyo hivyo. Unaibusu tu na unainusa kwa ukaribu ili siku nzima uwe unatabasamu tu kwa raha zako. Kowekazi wanakuuliza mbona leo unatabasamu hovyo hovyo basi unafunga macho tu na kunusa kwa hisia huku ukijua jioni utaikuta imesafishwa imeng'aa inakusubiri. Maisha jamaaaaa !!!
 
Nipo njiani naelekea kanisani kutoa ushuhuda.. Hii ni week ya Pili sasa tangu nikutane na binti mmoja hivi wa chuo cha MZUMBE natukapeana namba za simu.. Kila siku tunachati vizuri kabisa hata iwe watsapp tunatumiana na picha usiku.. Kinachonishangaza mpaka sasa week ya pili, huyu binti hajawai KUOMBA VOCHA WALA KUSEMA NIMRUSHIE TGO PESA. ''.. Imenishangaza mno.. Nawajua wadada wa vyuo tabia zao zilivyo.. Ndio maana naenda kutoa ushuhuda kanisani kuwa... NIMEKUTANA NA MALAIKA AKIWA KTK UMBO LA MWANACHUO.[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mirakooo eeeh
 
Back
Top Bottom