Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446426246_17509.jpg
 
Hata mimi nilimwambia hivyo hivyo. Unaibusu tu na unainusa kwa ukaribu ili siku nzima uwe unatabasamu tu kwa raha zako. Kowekazi wanakuuliza mbona leo unatabasamu hovyo hovyo basi unafunga macho tu na kunusa kwa hisia huku ukijua jioni utaikuta imesafishwa imeng'aa inakusubiri. Maisha jamaaaaa !!!
Hahhahaha
 
Wanariadha wa Tanzania waliopo nchini Australia wamekutana na changamoto ya kudakwa na askali achini humo wakiwa kwenye mazoezi ya kawaida kuelekea katika mashindano hayo yanayotarajia kuanza kesho Jumatano.
 
[Mashemeji Wangapi - Mbaraka Mwinshehe]

Mashemeji wangapi mimi nimechoka
Tena majiuliza sana wanatokea wapi?
Wanitia majonzi nakuwa na wasiwasi
Unaniweka roho juu imani nawe imeshanitoka.....

(Chorus)
[Wote]
Naota naota nadanganywa

[Mbaraka]
Kila mtu Shemeji hata yule Shemeji
Abdallah pia Shemeji?
Nia afadhali nifungue shule iitwe COLLEGE ya MASHEMEJI!

[Wote]
Naota naota nadanganywa.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi jirani
Alikuwa anaimba hapo"naota naota nadanganywa"[emoji441] [emoji441] [emoji445] [emoji445] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom