Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtu mweusi popote duniani ni kiumbe cha hatari. Wangekuwa wazungu wala wasingeguswa....Wanariadha wa Tanzania waliopo nchini Australia wamekutana na changamoto ya kudakwa na askali achini humo wakiwa kwenye mazoezi ya kawaida kuelekea katika mashindano hayo yanayotarajia kuanza kesho Jumatano.