Elly Ngateu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 365
- 1,389
What.....😵😵I see what you did there..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What.....😵😵I see what you did there..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaahhaha jamanAlitokwa povu huko na post za jana[emoji23][emoji23]
Naona niko kwa ignore list tayari
Mkuu hii nyimbo naipenda sana, nikisikiliza hii nyimbo mwili hunisisimka[Mapenzi Yanitesa - Mbaraka Mwinshehe]
Mapenzi yanitesa
Wazimu wanipata
Kwa kukufikiri wewe
Kama ulivyonigeuka
Mimi nashangaa
Najiuliza
Tumeachana lini x2
Chorus
Umeshalikatilii penzi langu bila kosa
Hali mimi bado nakupenda
Wazimu tayari sina hata la kufanya
Niko kama Bubu kwa mapenzi
Kula tu tena jirambe[emoji23][emoji23]Amu faini kwa kweli... Hivyo vyote tumeumbiwa wanaume...tulage tu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kubong'olewa....Jamaniiiii....Tena una imagine mkao utakao kuwa wala hiko chakula[emoji39][emoji39],walahi!!
Amen shem[emoji120][emoji120]Kwa jina la Yesu umeshapona shemeji. Hata kama huamini sema Amina huku ukiamini kuwa umeamini kabisa kabisa japo huamini kama ni kweli umeamini [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nianze kula kwa fiilingi wakati laivu laivu nimekiona? Siwezi.... Kowekazi wakiniuliza mbona naonekana mchovu mchovu hapo nawajibu kwa tabasamu na kuiangalia saksafoni yangu ilivyo jituliza...Hata mimi nilimwambia hivyo hivyo. Unaibusu tu na unainusa kwa ukaribu ili siku nzima uwe unatabasamu tu kwa raha zako. Kowekazi wanakuuliza mbona leo unatabasamu hovyo hovyo basi unafunga macho tu na kunusa kwa hisia huku ukijua jioni utaikuta imesafishwa imeng'aa inakusubiri. Maisha jamaaaaa !!!
[emoji3] [emoji3]Kamanda anamuogopa malkia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio ombi ni lazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kudukuana...
Na mimi naomba ban iendelee[emoji23][emoji23][emoji23]hahaahha shimba anaombea awahi kurudi atunyamazishe
[emoji23][emoji23][emoji23]maisha hayaKubong'olewa....Jamaniiiii....
Anaitikia ki guest am fine nyanya(sijui lini mtafikia kujiita vitunguu hahahaha)Na mimi naomba ban iendelee[emoji23][emoji23][emoji23]
Jakitoo hawa yuu huko uliko
Hahahahaha, jiwe, nduli, dhalimu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nani huyo mkuu? Angetoa talakaHuwa anaishiaga kusema Amun Ra tu japo unaweza kuona kabisa moyo unamuuma. Familia imara yenye kuvumiliana. Ingekuwa yule kamanda wa jiwe nduli dhalimu muuaji sidhani kama hili lingewezekana. Divosiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yule angeshatoa taraka zamaaan