carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiiiNianze kula kwa fiilingi wakati laivu laivu nimekiona? Siwezi.... Kowekazi wakiniuliza mbona naonekana mchovu mchovu hapo nawajibu kwa tabasamu na kuiangalia saksafoni yangu ilivyo jituliza...
Siku nyingine unashiba harufu tu bhana si lazima ushibee