Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kabla hujayajua yaliyomo humu usihanagike na ile ya Warioba
Usha fika sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona ushasema sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamoo wasukuma wote walioweka lamination atm kadi zao
SHIMBA YA BUYENZE.hawa yuu braza
Lovely[emoji7][emoji7]
Wachaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,nimesoma uzeeni nilikuwa nayaona mabinti niliokuwa nasoma nao.Au babu yao kama nina hamu na bia,wakawa wananitafutia
Nimeaikia jamaa kaokoka sasahivi anaimba kwaya,sijui mjani kaacha
"Kua na kiongozi mzalendo sio mbadala ya katiba mpyaaa"Kabla hujayajua yaliyomo humu usihanagike na ile ya Warioba
Kuna ticha wangu mmoja wa kike aliwahi sema class mtu akikukonyeza na wewe mkonyeze,yule maza sijui alikuwa anawaza niniHivi kukonyeza ni zambi??
Vijana wa miaka hii ni pasua kichwa, hawatatokea tena watu kama mussa memba, yassin Memba RIP. 21-25years ,wamefanya makubwa wakiwa na elimu za chini tu. wa miaka hii wamebaki kuwaingiza wenzao vyoo vya kike/kiumeKamanda hata wewe??