Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapo sawa. Hata mimi nina collection kubwa ya nyimbo nyingi za wasanii wetu wa kisasa na mamanju wa zamani mf. Ng'wanakanundo, Ng'wanamashishani, Shangata, Budagala, Mchelemchele na wengieo...

Umejitahidi sana kuiandika hiyo Ng'wanashindu. Umenifurahisha. Kwa Andaeitini ai emu shua haikuwa kazi rahisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hio ni comment ya mondray nimeikopi kwenye uzi wa wasukuma
 
29415864_2054380371488369_9117442806007201792_n.jpg
 
Back
Top Bottom