Hahahaha hio ni comment ya mondray nimeikopi kwenye uzi wa wasukumaHapo sawa. Hata mimi nina collection kubwa ya nyimbo nyingi za wasanii wetu wa kisasa na mamanju wa zamani mf. Ng'wanakanundo, Ng'wanamashishani, Shangata, Budagala, Mchelemchele na wengieo...
Umejitahidi sana kuiandika hiyo Ng'wanashindu. Umenifurahisha. Kwa Andaeitini ai emu shua haikuwa kazi rahisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhaha! Au kaning'iniza shingoni..Na crazy colours zake[emoji28]
Du hii Kali good morning mkuuKITU GANI CHA KWANZA KIFANYIKE KWA MTU ALIYE NG'ATWA NA NYOKA ILI KUOKOA MAISHA YAKE?
"Yafuatayo ni baadhi ya majibu ya wananzengo wa Fesibuku"View attachment 733165View attachment 733166View attachment 733167View attachment 733168View attachment 733169View attachment 733170
[emoji124] [emoji124] [emoji124] za kuambiwa changanya na za kwako...
HahahahahaTutumie raslimali zetu vizuriView attachment 733171
Hahahaha!!!Crazy colors? To who? Mwenzio hapo ametokelezea kwenda kwenye mtongozo we unasema crazy colors?