Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mmeniudhi, nimezira! Naenda zangu ziwani kuvua Sangara! Kwaherini wote mlioniudhi! [emoji6][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahahahaahahhaah poti poti,hao sangara ukivua mletee mzee wa liver zawadi eee
 
"Dear friends, let us love one another, for love comes from God. Everyone who loves has been born of God and knows God. Whoever does not love does not know God, because God is love." ~ 1 John 4:7
 
Kama Bayern atapita, Madrid, Barcelona na Real Madrid uwezekano mkubwa ni wa Liverpool kukutana na Madrid ili Barca akutane na Bayern tupime upepo.

Final ikiwa Madrid na Barca itanoga zaidi.

Japo nusu itakuwa ngumu kuliko fainali.
Ila napenda liver apambane na barca ili kama liver ni moto amtoe barca madrid tutawale hahahahahah
 
45471-love-enemies.jpg
 
1.Huondoa Harufu mbaya ya kinywa.
Tofauti na vyakula vingine kama kitunguu swaumu, tangawizi husaidia uwe na harufu nzuri pale unapopumua na kufanya maeneo yamdomo kuwa safi
 
2.Msukumo Wa Damu
Tangawizi husaidia msukumo wa damu mwilini kwasababu huupa mwili joto ambalo mara nyingi mwili huhitaji wakati wa usukumwaji wa damu mwilini.
 
3.Huondoa Magonjwa ya Asubuhi
Licha ya kuwa tiba ya magonjwa kama Kikohozi na Mafua, Tangawizi pia husaidia kupunguza magonjwa ya asubuhi kama uchovu, na mning’inio. Kwa akina mama wajawazito, Tangawizi huwapunguzia homa za asubuhi pindi wanapoamka, pia hutumika kama kichocheo cha utulivu.
 
4.Mfumo wa Chakula
Husaidia mwili kunyonya virutubisho kwenye chakula. Hii husaidiana sana pale unapoamua kupunguza uzito wa mwili na kupata virutubisho vilivyo muhimu tu.
 
5.Kurekebisha Sukari ya Mwili
Tangawizi husaidia katika kuweka sawa kiwango cha sukari kwenye damu. Wagonjwa wa Kisukari wanashauriwa kutumia Tangawizi badala ya chai.
 
6.Hamu Ya Kula (appetizer)
Huongeza hamu ya kula chakula. Kwa wale wenye mfumo mbaya wa umeng’enyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo mzuri wa mmeng’enyo wa chakula.
 
7.Uzalishaji wa MateTangawizi
Unywaji wa Tangawizi husaidia uzalishaji wa mate mdomoni. Kuongezeka kwa mate mdomoni husaidia kutengeneza vichocheo Muhimu vinavyosaidia wakati wa kula, na hupunguza pia uwezekano wa magonjwa ya meno.
 
7.Uzalishaji wa MateTangawizi
Unywaji wa Tangawizi husaidia uzalishaji wa mate mdomoni. Kuongezeka kwa mate mdomoni husaidia kutengeneza vichocheo Muhimu vinavyosaidia wakati wa kula, na hupunguza pia uwezekano wa magonjwa ya meno.
 
Back
Top Bottom