Hahahahahaahahhaah poti poti,hao sangara ukivua mletee mzee wa liver zawadi eeeMmeniudhi, nimezira! Naenda zangu ziwani kuvua Sangara! Kwaherini wote mlioniudhi! [emoji6][emoji124][emoji124][emoji124]
Yego magamboki??
Ila napenda liver apambane na barca ili kama liver ni moto amtoe barca madrid tutawale hahahahahahKama Bayern atapita, Madrid, Barcelona na Real Madrid uwezekano mkubwa ni wa Liverpool kukutana na Madrid ili Barca akutane na Bayern tupime upepo.
Final ikiwa Madrid na Barca itanoga zaidi.
Japo nusu itakuwa ngumu kuliko fainali.
Kwan tulichomeka wapi in JK voice hahahahahahaJumamosi huchomoi wewe! [emoji1][emoji1]
Hahaaa [emoji23][emoji23] ukerewe hawajambo?Mwingine huyu hapa, duu! Nigakisi, Subhati/Tabhani?
Hahaaaa [emoji28][emoji28] na Barca akikutana na nyie Final mjue hakuna jipyaIla napenda liver apambane na barca ili kama liver ni moto amtoe barca madrid tutawale hahahahahah
UCL madrid wapo kasi watamfunga tuHahaaaa [emoji28][emoji28] na Barca akikutana na nyie Final mjue hakuna jipya
Tutakutana hapa kwa matokeo zaidi[emoji23][emoji23]UCL madrid wapo kasi watamfunga tu
Hahaaa [emoji23][emoji23] ukerewe hawajambo?