Amen[emoji120]Mungu atulinde na kila baya siku ya leo na milele
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji28][emoji28][emoji28], mwana wa jaji
Umeamka salama?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wazidi kumkata usingizi.[emoji23]
Za asubuhi Asigwa
Asante, iwe njema kwako pia.Muwe na asubuhi njema wapendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wazidi kumkata usingizi.
Hahahahaha! Monarch
Asante[emoji120]Asante, iwe njema kwako pia.
Hapana.Ndio inaitwa hivyo siku hizi eeh?
Vizuri.Nimeamka salama piaNimeamka salama Pyaar namshukuru Mungu
Za kwako?
Hujawahi isikia?Ndio inaitwa hivyo siku hizi eeh?
Hujawahi isikia?
Monarch Gallu hotelHilo jina siyo geni, huwa nalisikia!