Wengi wanaifahamu kwa jina la Monarch,Hilo jina siyo geni, huwa nalisikia!
Wengi wanaifahamu kwa jina la Monarch,
Muda sijaenda, since 2015.Hivi walishaitengeneza kidogo? Kuna kipindi nilipita pande hizo, ilikuwa imechoka vibaya! [emoji1][emoji1]
Kuna watu waliumbwa kuwa mapambo ya dunia
sasa jela inatunyang'anya mapambo yetu seee
Hahaha! Naona umeamua kumnukuu Vanny.Kweli walisemanga dunia ina mapambo yake eeh
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh
Huta amini atakapo toka jinsi atavyokua amenawiriYaani uzuri wote huu mtoto anaze jela??
Na kwako piaMuwe na asubuhi njema wapendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]