Shukriyaan!Safi kabisa bana! Ijumaa Kareem!
G'morning madameNatakiwa nifungue blog wapi? Nianzishe blog inayohusu nini? Lazima niandike kuhusu Diamond na Wema? Ntawezaje kuingiza kipato? Nimaswali ambayo wengi hujiuliza kabla ya kuamua kuwa na blog. Kama Ulikuwa hujui, Kuna Blog zaidi ya milioni 150 Dunia nzima! Bila kujali unataka kuanzisha kwa madhumuni yapi, zingatia haya kumi.
KweliTangu inafunguliwa ilikua inaitwa hivyo
Cheko mubashara kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au labda anaongelea ile hotel freedom maana ipo maeneo hayoKweli
Anaongelea hiyohiyo Monarch GalluAu labda anaongelea ile hotel freedom maana ipo maeneo hayo
Cheko la huzuni,nimepoteza rafiki humuCheko mubashara kabisa.
Si kweli, rafiki hawezi kupotea. Atarudi.Cheko la huzuni,nimepoteza rafiki humu