Mzee wa liver klopp mwenyewe KwemaCole Williams
Mshindo mkeyenge
Mzee mwenye busara sana RIP na mwanae Banza nae amefariki juzi katiMshindo mkeyenge
IDD Rashid Mchatta
Hhahaha hofu yako tu mpenzi.Numbi, huyu mtoto kanifumania mara nyingi sana, lakini, amekuwa mpolee hadi nimeshtuka, kuna jambo huyu analitaka kufanya juu yangu.
Nazir mayoka
Hahahahahha dah,kweli nimepata.Weee nipo makini nisikuumize, nakulazaga taratibu kama yai la kuku wa kienyeji
Majukumu kaka usawa wenyewe huu utakula like tuAsante kwa kuja hila unatutenga kama siku Mbili hivi
Hewala,asante sana.Haya tu orodheshe couple kali za uzi huu
Naanza na andjul na nsamaka