Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya Kuwafanyia utafiti wanawake 100 wa kati ya miaka 18-40 maeneo mbalimbali Tanzania mbalimbali kujua ni vitu gani hasa wanavyotaka wagnaume wavijue, haya ndio tuliyoambiwa..

1.Ndugu wanaume , Tungependa muelewe kwamba, Tunahitaji zaidi muda na nyie kuliko hizo hela zenu. Msifikiri furaha ya mwanamke ni pesa tu! Kumbe hata muda wako ni jambo la msingi sana kwetu.
 
Back
Top Bottom