Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie damu nzito kuliko maji, mambo ya talaka yanazingua sana.
Nikurudie?
Ukisema ndiyo weekend tunajiteka[emoji23][emoji23][emoji23]
Week nzima kama Numbisa alivyoenda vale nini ileeee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasa iwe talaka ya gafula
Kumbe ndo mana kachizi siku hizi[emoji23][emoji23]
Halafu we nawe mbaya sana,kijana alitanhaza hapa moyo wake umekudondokea ukala buyu[emoji23][emoji23]waaaaiiiii
 
Furahia muda wako mkuu sema tu usijisahau..Usipofurahia sasa hivi kuna muda utafika utabanwa saana na utakuwa unatamani kufurahia lakini ndiyo majukumu yamekukalia shingo.
Umeona eenh
Siku ukikaa chini ukawaza hivi nini maana ya maisha.

Unaweza kwenda bemki ukachukua vihela vyako vyote ukaenda kulewa mpaka viishe...
 
Kumbe ndo mana kachizi siku hizi[emoji23][emoji23]
Halafu we nawe mbaya sana,kijana alitanhaza hapa moyo wake umekudondokea ukala buyu[emoji23][emoji23]waaaaiiiii
Aaah aliyeachia jimbo ndo mbaya zaidi oohooo nisije kuita mtulia bure maana umesababisha maafa makubwa mno hadi chama cha wagumu kuzaliwa carba carbaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1.Kabla Ya Kuanza Kufungua, Hakikisha Chupa Yenye Shampeni Imehifadhiwa Kwenye Ubaridi Kwa Muda Fulani Kwani Kinywaji Hiki Ni Bora Zaidi Kikinywewa Kikiwa Baridi. Unaweza Usiweke Kwenye Baridi Kama Tu Unataka Shampeni Iruke Sana Na Kusambaa Kila Mahali.
 
3. Ondoa Karatati Inayozunguka Shingo Na Mdomo Wa Chupa Ya Shampeni. Ili Kuondoa Karatasi Hiyo, Zungusha Chupa Yako Na Kutazama Kiungio Cha Karatasi Hiyo Na Kuivuta Taratibu.
 
Back
Top Bottom