Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5.Weka Kidole Gumba Cha Mkono Uliotumia Kushika Shingo Ya Chupa Ya Shampeni, Tumia Mkono Wako Mwingine Kuondoa Waya Unaozunguka Kifuniko Cha Chupa.
Kumbuka Waya Huo Huondolewa Kwa Kuzungusha Ukianzia Sehemu Ya Pembeni Iliyofungwa Kama Kitanzi.
 
6.Ondoa Waya Na Kuuweka Pembeni. Bila Kuachia Kizibo, Unaweza Kutikisa Chupa Mara Kadhaa Kama Unataka Shampeni Iruke. Kama Hutaki Iruke Basi Usitikise Chupa Hiyo.
 
Anza Kuzungusha Kizibo Cha Chupa Taratibu Kulia Na Kushoto Huku Ukikivuta Taratibu Sana Mpaka Kitoke. Kumbuka Unaweza Kukiachia Kiruke Au Kukishikilia Kama Ni Tafrija Inayohitaji Utulivu Sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jimbo lilinishinda,yaani mtu anakuacha anaona ipielo ni bora kukuliko kwanini nisitoe talaka
 
Wale watu wanakaa jangwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sasa ole wako uniulize ndo wakoje
Ntakusaidia kujibu ni ngamia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…