Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wadogo zangu wawili Na mjomba wangu waliuliwa kinyama

Pole sana sana
Mungu azidi kuwapa nguvu.
Nina ndugu zangu walihudhuria msiba Dar.. wanaurafiki na ndugu zako wengine.. nilikuwa nje ya mji kipindi hicho.

Nimeona BAK ameandika kitu kwa uzi wa jana juzi.. ndio nika search na kukuta uliyoandika.
Poleni sanaaaa

Pia poleni sana wengine mliopatwa na misiba.. nimeona kuwa watu watatu walifiwa na wa karibu.

May their souls continue to rest in eternal peace.
 
Back
Top Bottom