ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Njoo ujionee kama ni kweli ama uwongoNafikiria ile 4*3
Hivi ni kweli????
Me nmesikia kwenye radio sasa hivi eti... ila navuta bangi hapa [emoji14] [emoji23] [emoji119]teh teh teh
diamond naye firimasoni kumbe??
Weekend mubasharaNdiyo,tumshukuru Mungu, twaelekea kuianza weekend.[emoji120][emoji120][emoji120]
Kwani Sh.ngapi?Daladala hapandi anataka "uba" [emoji23] [emoji14] [emoji119]
ha ha ha haMe nmesikia kwenye radio sasa hivi eti... ila navuta bangi hapa [emoji14] [emoji23] [emoji119]
Ntavaa jezi ya simba imeondikwa OkwiiiDon't forget 26/4
HuhuhuhuDaladala hapandi anataka "uba" [emoji23] [emoji14] [emoji119]
Mpaka tegeta ni 12,000/=Kwani Sh.ngapi?
Bajeti ya grandi malita....Huhuhuhu
Bajeti ya nini?
Amina kweli kabisa
Nipraktizi mimi mwenyewe??????Noleji nzuri upraktizi
Haitoshi hata kununua vocha.Mpaka tegeta ni 12,000/=
Familia takatifu hii naipenda sana
he he he heDaladala hapandi anataka "uba" [emoji23] [emoji14] [emoji119]
Usafiri binafsi kutumia teksi - uber ( uba ) [emoji23] [emoji14] [emoji119]Huhuhuhu
Uba ndio nini?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uwiiBajeti ya grandi malita....