Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10.Chapati Kubwa Zaidi kutengenezwa!

October 8 2010, katika nchi ya Uturuki, wapishi zaidi ya 50 walikusanyika kwa pamoja na kutengeneza chapatti ya mayai yenye uzito wa tani 6 (Uzito wa gari kubwa). Chapatti hiyo ilichanganywa mafuta lita mia nne (400), na Mayai zaidi ya laki moja (100,000)
 
3.Mdogo kwenye familia ndiye atakaesingiziwa kafanya uharibifu wowote nyumbani, mpaka atakapokuwa na uwezo wa kujitetea!
(Matokeo yake wenye vyeo wakitaka β€œkula” wanatumia mgongo wa watu Fulani wa chini ambao hawana sauti)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…