Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2. Nyumbani ni kwa ajili ya yeyote ilimradi tu awe ni ndugu, ndugu yeyote anaweza kuja kukaa kwa muda wowote hata kama alifukuzwa kwao hukuna haja ya kuwa na wasiwasi nae maadam ni ndugu yetu!
(matokeo yake, mgeni toka nje akija, No problem! Ni rafiki zetu sana hawa, mpe ardhi)
 
Kama umezaliwa kabla ya mwaka 1990 utakubaliana na mimi kwa aina hii ya malezi uliyolelewa nayo!

1.Mzazi ndiye Mungu, yaani hata kama umefundishwa kwamba anga ni la bluu, mzazi akikuambia anga lina rangi ya njano inabidi ukubali!
(matokeo yake viongozi hawakotayari kukosolewa)
 
29740431_196207804502209_5831957145720979456_n.jpg
 
Wanaona aibu kutoa elimu hio kwa bint zao

Hahahaha, aisee kwa Usawa huu mimi huwa nawaambia japo siwezi kufanya kama ambavyo mama yao angaweza kufanya.
Ukiwa na uzito sana namwomba bibi yao awasaidie, lakini mimi huwa simung'unyi maneno kwasababu wakiharibikiwa watanisumbua mimi. Na mimi siko tayari kuwalea upya watu wazima.....
 
Back
Top Bottom