Consolitha
Member
- Jul 14, 2016
- 20
- 20
Sasa kama hujui hata kuendesha baiskeli inakuwaje hapo!?Unatakiwa Kujua Kuendesha angalau chombo kimoja cha usafiri na kuwa na uwezo wa kuziba pancha au kubadili gurudumu (baiskeli, pikipiki, gari nk)
Sasa kama hujui hata kuendesha baiskeli inakuwaje hapo!?Unatakiwa Kujua Kuendesha angalau chombo kimoja cha usafiri na kuwa na uwezo wa kuziba pancha au kubadili gurudumu (baiskeli, pikipiki, gari nk)
Nice seriesQueen of the south
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nilijua tuMimi tu nitabaki naelea kwa hewa..."niende au nisiende?!!!"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si hata gari utajifunza uzeenSasa kama hujui hata kuendesha baiskeli inakuwaje hapo!?
How i met your motherGreys Anatomy
Yes Mkuu
Amen[emoji120] [emoji120]Pole sana sana
Mungu azidi kuwapa nguvu.
Nina ndugu zangu walihudhuria msiba Dar.. wanaurafiki na ndugu zako wengine.. nilikuwa nje ya mji kipindi hicho.
Nimeona BAK ameandika kitu kwa uzi wa jana juzi.. ndio nika search na kukuta uliyoandika.
Poleni sanaaaa
Pia poleni sana wengine mliopatwa na misiba.. nimeona kuwa watu watatu walifiwa na wa karibu.
May their souls continue to rest in eternal peace.
Hahahaaaaa haya bhanaSi hata gari utajifunza uzeen
And Yeees she's fine with pumpins on he legz!