Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BhDA-LZnage.jpg
 
Niaje kiongozi[emoji120] [emoji120] pole sana kwa msiba mzito ulio kukuta. Ndo nimeiona comment ya dadaangu cocochannel hapo nyuma. Sikuwa aware kabisa maana mimi mwenyewe ndo kipindi baba kanitoka. Mungu aendelee kukutia nguvu brother[emoji120]
Hii habar ni ya jamaa mmoja aliua mtu na mdogo ake na mtoto wa miezi ilikuwepo hadi kwenye gazeti la mwananchi na uwazi too sad
 
Back
Top Bottom