Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee!! Aue watu watatu? Kwa kosa gani hilo ambalo hata Mungu hawezi kulisamehe? Sisi binadamu ni wa ajabu kabisa,kama muuaji ni mwanaume si ajabu chanzo kikawa ni mapenzi...
Mwanaume kuwaza sana mapenzi kunatokana na kudumaa kwa akili ya utafutaji na kutokuwa na malengo ya kimaisha.
Mungu awalaze(hasa huyo mtoto) mahali pema peponi. Amen[emoji120] [emoji120]
Naona jamaa alihisi mtoto sio wake,mtoto miezi mitatu hivi mzurii,piamwanamke alileta ndugu yake wa kike kumsaidia malezi ila ndo hivyo tena wakauliwa wote.

Mzee wa liver aliweka picha zao hapa wazuri kweli
 
Ile ya kaka au ya suruali? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
61D86FEF-5EC9-4E69-B2DF-5DE5AC2C25A7.jpeg
 
Back
Top Bottom