Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salman Khan(52) ahakumiwa miaka 5 jela kwa kushikwa na hatia ya kuua swala wawili weusi nchini India miaka 20 iliyopita wakati akishuti filamu ya Hum Saath Saath Hain. Hukumu hiyo iliyosomwa Leo imemtaka Pia superstar huyo kutoa fine ya dola $150 zaidi ya laki 3 za kitanzania . Hata hivyo Salman mara zote amekana kosa Hilo, Pia mahakama imesema yupo Huru kukata rufaa mahakama ya juu na Kama rufaa ikikubaliwa atapata dhamana na baadaye anaweza kufutiwa mashtaka kwa jinsi mahakama ya juu itakavyoamua . Waigizaji wengine waliokuwa watuhumiwa katika kesi hiyo ni Saif Ali Khan, Tabu, Sonali Bendre na Neelam ambao wote waliigiza Hum Saath Saath Hain(1999) lakini wao hawajakutwa na Hatia Ingawa wanadaiwa walikuwa wote na Salman Khan aliyesema swala hao walikufa wenyewe kwa natural causes
29417515_1834480673519046_2253323041016643584_n.jpg
 
Hapo ndipo ninapo sema Cole ni msumbufu.Swali aulize yeye,jibu anataka apewe analo litaka yeye.
Hata kum-kwotua nimeacha,sim-kwotui tena...yaani BAN unaiona ile paleeee
[emoji23][emoji23][emoji23]huyu nduguyo ni changamoto
Eti anasema anataka noleji,noleji gani na anaijua??
Ila mweee!!ukipata ban me nitaishije humu??
 
Julie eeh nikupe nini uridhike,cha kukupa sina eehJulie,unihurumie mamaaaaa...[emoji124] [emoji124] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
Maneti....

Ufakara nilio nayo .........[emoji443] [emoji443] [emoji444] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji446]
 
Back
Top Bottom