Na shemeji yako kipenzi simuoni...namaanisha daddy,mwanangu,beibiiii, mkuu,na majina yake kem kem akiitana na dota/kitoo wake...Ndo mana nimemwachia yeye anahangaike naye me kanishinda
[emoji28][emoji28][emoji28]Julie eeh nikupe nini uridhike,cha kukupa sina eehJulie,unihurumie mamaaaaa...[emoji124] [emoji124] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443]