Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hupunguza Uwezo wa Kujamiiana
Ukosefu wa usingizi hupunguza hamu ya kufanya mapenzi kwa wanaume na wanawake pia. Hii hutokana na muda Mwingi kuwa wamechoka. Kwa wanaume kukosa usingizi, hushusha uzalishaji wa homoni za “testosterone” na kupunguza nguvu za kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…