Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1523008209246.jpg
 
4.Kuongezeka uzito kwa haraka
Utashangaa lakini ukweli ni kwamba kukosa usingizi huufanya mwili utengeneze kwa wingi homoni ya ghrelin inayohusika na kukufanya ujisikie njaa. Hivyo mtu anaekosa usingizi wa kutosha hula chakula kingi bila kutosheka na kuongeza uwezekano wa kuongezeka uzito
 
Back
Top Bottom