Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si unajua mamaa"bebii"wake yuko selo?
Yawezekana kaamua kumuunga mkono kutoingia jf[emoji23][emoji23][emoji23]

NB:[emoji117][emoji117][emoji117]tumuombee arudi jukwaani ASAP[emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa kweli,binti mpole asiye na hiana.Mtoto cheko lake dahh... Sema vile alivyo na shepu la kisukuma na sura ya kichaga... aisee!!!
Yaani siku ya kwanza ya kumuona Jakitoo (nitayaongea hata na ya kujifunga sasa) binti mpole....jamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] Jakitoo ya Buyenze... Kamu zisi wei mama
 
Hahhaha! Ng'ombe hazeeki maini.
Na mimi nasimamia humo humo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tapatalk_1521392710263.jpeg
 
Back
Top Bottom